BARAZA LA NGOs WASISITIZWA KUFANYA UCHAGUZI

Na Mwandishi Wetu-Dodoma . Mwenyekiti wa Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Dkt. Richard Sambaiga ameliagiza Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NACoNGO) uchaguzi wa viongozi kwa mujibu wa sheria ili kuliwezesha kutimiza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria. Dkt. Sambaiga ametoa maelekezo hayo Katika Kikao cha 46 cha Bodi ya